Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimelipenda hili kanisa !!!
271dfb16100f25c65a9f61d0f04b68ef.jpg
 
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Afya ya Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk Cyril Masawe anasema samaki wana umuhimu katika afya ya mama na mtoto na iwapo mama hatapata Omega 3 ya kutosha anaongeza hatari ya kupata postpartum depression, ‘mtoto mwenye uzito mdogo’, uchungu wa mapema (preterm labour), ‘mtoto kuzaliwa kabla ya muda’, au kulazimika kuzaa kwa upasuaji.
Yaani itabidi ufungue vioo...haya ni maarifa makubwa
 
Back
Top Bottom