We mkuu hufai kabisa. Anyway kamata likes...Ikitokea huu uzi umefutwa na likes zetu zote tulizo zipata humu ziapotea sasa sipati picha kwa wale wanaokesha humu kukusanya likes watakua na hali gani
Amen binti wa Mungu! Na ikawe hivyo milele na milele.Kama kuna laana yeyote katika mji wangu wa Dar es Salaam na nchi yangu ya Tanzania na kwangu na kizazi changu! Imekufa leo na imeyeyuka na kotoweka milele yote na haita rudi tena milele yote!
Morning BabyGood morning likers!
AMUN RAAmen binti wa Mungu! Na ikawe hivyo milele na milele.
.
Why....kwema?Naona tumeamka kinyonge sana leo
Free but lazima na Wewe utoe likesKwan kulike shs ngap eti jaman
Morning Goddess ISISAMUN RA