Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ngumi ni ngumi and anything can happen. Mayweather akilengwa ngumi moja tu ya McGregor basi kazi kwisha hasa ukizingatia kuwa sasa ni mhenga (miaka 42?) na hajapigana huu mwaka sijui wa pili. Wachambuzi wengi wanaamini Mayweather atashinda ila mi nasema lolote laweza kutokea...Bro kwa unavyo ona huyu connor mcgregor atammudu myweather