NzuriHabari ya siku ya leo wananchi
Love is loveDoooh!wapangiwa hadi ratiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AminaMungu awape neema zake siku ya leo
Muulize malkia wangu[emoji15] sijakuelewa..
HahahahahaDoooh!kweli mapenzi yamekukamata[emoji23][emoji23]
Nzuri mkuu karibu
Wazee wengine bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu akipenda kesho nikifika salama nitazimaliza haja zako
HahahahahaHizi individualized greetings naogopa hata kuzi like
Sent from my TV
HahahaahNumbisa mama afya ha wa yuu