Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Thanks God uzima na Afya tele sijakuona saa kumi na mojaAm awake babes...meamkaje wewe kipenzi changu
Thanks God uzima na Afya tele sijakuona saa kumi na mojaAm awake babes...meamkaje wewe kipenzi changu
Good morning mkuuGood morning Mzee wa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata ukiambiwa, nitukanie fulani; utatukana tu!
Cc:Kichwa KichafuDaktari huyo bingwa wa magonjwa ya akili anatanabahisha kuwa pombe imekuwa ikipunguza nguvu za uzazi kwa wanaume na wanawake, huku wanaume wakiwa kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na tatizo hilo kwani mbegu zao huathirika kutokana na matumizi ya pombe kwa asilimia 72.
Nasikiza[emoji101] [emoji101] [emoji101]Kifafa cha mimba
“Kifafa cha mimba asilimia 100 kinachangiwa na unywaji pombe kipindi cha ujauzito, hata watoto wanaozaliwa wanakuwa kwenye athari ya kuwa mazezeta, ‘’ anasema.
Mzee wa USIKuNzuri sana...Mambo niaje hapo?
Cole's world[emoji7][emoji7][emoji7]Cole's
World
You are the best I have ever hadCole
Cole's world[emoji7][emoji7][emoji7]Cole
World
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Carbamazepine
World
am okay lovee [emoji173] [emoji181] and youBabes umeamkaje?
Kuna doctor mmoja nilikuwa namfaham alifariki 2yrs ago kwa liver cirrhosis,yule baba alikuwa anakunywa pombe kutwa nzima daahINI KUFELI(LIVER CIRROSIS)
Hii hutokea pale ambapo mtu anakunywa pombe kupita kiasi na kwa kawaida kazi ya kuondoa sumu mwilini hufanywa na ini sasa pombe ni sumu kwa hiyo kinachotokea ni kwamba ini linashindwa kutoa sumu ndani yake baada ya pombe kuzidi na hivyo kulisababisha liwe na makovu na lishindwe kufanya kazi hivyo kupelekea tumbo kuvimba kukosa hamu ya kula pia miguu kuvimba na kutapika nyongo.
Kweli babesLove is love