Mama kwema?7:54
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Fact [emoji818][emoji818][emoji818]Ni ukweli kwamba watu wengi hutamani mafanikio na kuyazungumzia katika maneno yao ya kila siku lakini kwa bahati mbaya hawajawahi kuyaishi mafanikio hayo kwa sababu ya kutokuwa na dhamira madhubuti katika kuyaelekea mafanikio hayo.
[emoji23][emoji23][emoji23]hata akiendelea kunywa hilo jina litakuja kwa kasi ya 4gMwee ataongezewa jina la hayati hahah