Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitakamzuia kuwa mkuu wa nchi ni nafasi ya kuzaliwa.
Hawa watu maisha rula
Queen Elizabeth Mtoto wake wa kwanza ni Prince Charles huyo ni wa kwanza kwenye urithi wa kiti cha mama yake
Prince Charles Mtoto wake wa kwanza ni Prince William huyu ni wa pili kwenye urithi
Prince William Mtoto wake wa kwanza ni Prince George huyu ni wa Tatu kwenye urithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…