cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Nzuri mkuu
Good afternoon cheria
Noma sanaQueen Elizabeth Mtoto wake wa kwanza ni Prince Charles huyo ni wa kwanza kwenye urithi wa kiti cha mama yake
Prince Charles Mtoto wake wa kwanza ni Prince William huyu ni wa pili kwenye urithi
Prince William Mtoto wake wa kwanza ni Prince George huyu ni wa Tatu kwenye urithi
Dunia ya digitali sasa