cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Mkuu niaje mambo vipiSema Mfalme Mwenye Busara. Mnaendeleaje hapa?
Majukumu leo yamebana lakini nipo shemeji langu la nguvu. Natumaini Alhamisi yako inaendelea vyema!SHIMBA YA BUYENZE uko wapi leo?
Sema kamanda wa pwani. Kwema? Nipo na mihangaiko ya hapa na pale na nitakuwa in and out. Likes kama kawaida...
The one and only