Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Busy
Wageni wanasuka nywele!
Wazungu walahi!
Watajiju mtu wa kuwafumua walahi!
Hahahaha
Misuko yao si ya mabunda makubwa makubwa? Dakika moja tu umeshayafurumua yote? Kazi umpate Mbantu kasuka vile vimistari vidogo dogo na extension juu. Aisee utakesha...

Kuna mmoja mi alijichanganya akaniomba nimfumue nikaamua kupita shortcut kukata extensions kumbe nikawa nakata na nywele zake. Moto ulioniwakia sitakaa nisahau na tangu siku hiyo ndipo nilielewa kuwa nywele pengine ndiyo kitu cha muhimu kuliko vyote kwa mwanamke !!!

Kamwe usicheze na nywele za mwanamke !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…