Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Misuko yao si ya mabunda makubwa makubwa? Dakika moja tu umeshayafurumua yote? Kazi umpate Mbantu kasuka vile vimistari vidogo dogo na extension juu. Aisee utakesha...

Kuna mmoja mi alijichanganya akaniomba nimfumue nikaamua kupita shortcut kukata extensions kumbe nikawa nakata na nywele zake. Moto ulioniwakia sitakaa nisahau na tangu siku hiyo ndipo nilielewa kuwa nywele pengine ndiyo kitu cha muhimu kuliko zote kwa mwanamke !!!
Wanasuka Kimasai
Vidogodogo kama vya kwetu!
I wish ningempiga picha!
 
A pound of grasshoppers is almost as nutritious as a pound of beef.
b40001ab47e464a90a70e0b95cfee536.jpg
Shenene
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom