Aisee hata gari atakupa kk kwa anavyopenda Misa .....Mwambie aniandalie makazi
Sie tuko poa kbsa, tunashukuru!Wazima sijui wewe na uniq
Ni kweli sis. Maadam siye tulishakula ng'ombe wetu; na wewe una furaha basi mengine ni madogo !!!Hahahah kaka acha tu iwe hivyo. Tunajuana wenyewe