Kweli kbs kakaNi kweli sis. Maadam siye tulishakula ng'ombe wetu; na wewe una furaha basi mengine ni madogo !!!
Mhola doho! Yaani......we mzima lakini!??Ulimhola? Za siku mbili tatu hivi. Naona tunapishana pishana humu !!!
Salama kabisa mkuu Kichwa KichafuHabari yako mkuu
Mzima mzee wa LiverHello babe s
All of Me loves all of You[emoji818][emoji818]
Ila huyu dogo akipatikana itakuwa kwere sana
Barcelona ndugu zangu kazi mnayo mwaka huu