Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.Adolf Hitler Ndiye alieanzisha sheria ya kutovuta sigara hadharani. alikuwa mvuta sigara enzi za ujana wake na alikuja kuacha baadae akidai ni utumiaji mbaya wa fedha!





3.Huwezi Kuamini lakini Ukweli ni Kwamba Adolf Hitler alikuwa na KORODANI MOJA tu!!



4. Licha ya kufurahia Kuua sana binadamu, adolf alipinga sana ukatili wa wanyama, na alikuwa hali nyama ya aina yeyote ile!
 
6. Mpenzi wa kwanza wa Hitler alikuwa myahudi na aliona aibu kumueleza hisia zake. baadae aligeuka na kuamua kuua kila myahudi aliyekuwepo ujerumani, kasoro daktari mmoja ambaye alisaidia bure familia ya hitler kuwatibu kutokana na ugumu wa maisha kipindi adolf akiwa mdogo!
 
Back
Top Bottom