Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mkuu, udhaifu mmoja wa wapenda kusifisiwa (ikiwamo kupenda "likes") hawana kipaji cha kuongoza (iwe kwenye ngazi ya familia au jamii). hawa wakipewa uongozi kwa bahati mbaya, wanaishia kuwa madikteta!

so, mkuu... wapuuze washiriki wa hiyo thread ilimradi tu, of course, usifanye kosa la kuwapa uongozi wa aina yoyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…