gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,849
Sio kidogo tunashine kuliko kawaida mods wanashangaaa hukoNa sisi tunashine kidogo
Sio kidogo tunashine kuliko kawaida mods wanashangaaa hukoNa sisi tunashine kidogo
Mwendo wa singeli
Kile kijiwe chenu hakina likes[emoji95] [emoji95] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Hata nami pia gbefa. Nakuona tu ulivyokisusa kijiwe chetu baada ya kupata kijiwe kipya
bila kujua nawewe umeanzisha uzi mwingine wa like, mimi wote walio page ya kwanza nimewapa like hata bila kusoma wamechangia nini. ngoja niende page ya pili nao nikawa like.Asee ngoja niende kwenye point,Sina mda mrefu humu jamiiforum lakini majuzi nimeshangaa kuona member mmoja akipost mada ya ajabu tu hivi kwamba anasema wanaotaka LIKES wacoment chochote tu hata herufi moja kwenye huo uzi kisha ukisha coment chochote utachapwa na MaLIKES ya kufa mtu..mwanzo nikaona ni post ya kijinga ila sikuamini watu walivyomiminika kwenye huo uzi aseee:
Uzi wenyewe huu hapa: Uzi maalum wa kupeana likes, comment chochote upate like uzi una siku 4 tu lakini Mpaka hivi sasa nnavyoongea uko na page zaidi ya 1192 na umetazamwa mara 281,084 hawa watu wote karibia Laki3 wanataka Malikes 🙁 Mweeee! Nikachoka kabisa.
Ila nikaja kujua kumbe ila kasumba ya Instagram ama Facebook ya vijana wa kileo kupenda maLIKES ipo hadi humu sema watu hawataki tu kujionyesha ila moyoni wanapenda maLIKES.
Nihayo tu wajameni
Safi dada shikamooMambo?
Karibu tena[emoji125] [emoji125] [emoji125]Asante sana
Nipe na safari lager mkuu nishushie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kula like
Ndoa tamu weye[emoji95] [emoji125] [emoji125]Wengine kimyaaa...jembekilo,kichwa kichafu,Ukhuty na Rosweeter
Safi sana unaongoza sasa hivi subiri nikupe milikesWe acha tu,neema hii safi sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji56] [emoji56]spidi hii ni ya wale wasio kunywa chai tayari...
Sasa tungoje waliomaliza kunywa chai......
Naona uvivu kupika dah ngoja mwakani nioe tuspidi hii ni ya wale wasio kunywa chai tayari...
Sasa tungoje waliomaliza kunywa chai......
Mkuu unaitikia kama...Ohhh yes!
jiandae kukimbia maana na hapa utapata za kutoshaasee bora wewe kiongozi me nilijaribu kupeleka pua yangu kule nikachapwa na like kama 10 nikaona hapanifai nikasepa