moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkuu tumekumiss hapa,Me nipo showroom naweka oda kabisa ya Noah yangu nataka iwe na rangi ya samawati
Mkuu tumekumiss hapa,Me nipo showroom naweka oda kabisa ya Noah yangu nataka iwe na rangi ya samawati
Elimu si utajiri!Elimu ni bahari
Elimu ni nuru
Elimu ni mwanga
Elimu ni fimbo ya kutembelea
Elimu ni ufunguo wa maisha
Elimu ni hazina
Elimu haina mwisho
Tembeza like Balozi wa Upendo.Nitawatembezea like wachangiaj wote wa huu uzi
Jitokeze tokeze ili tukumwagie ma-likeMe nipo showroom naweka oda kabisa ya Noah yangu nataka iwe na rangi ya samawati
mimi sikucomment chochote kabisa namshukuru mungu kwenye hiyo Thread
Una lako jambo wewe. Kamata like...Laleni wote mi acha niulinde uzi na mwenzangu ISIS
Mkuu ahsante kwa kusimama imara kuutetea. Nimemuona ukhuty, the chosen one, mnawamwagia likeKumbe kuna wengine hawaupendi huu uzi, Aseee!!!! Sitaki kuamini wabongo wanapenda LIKES kiasi hiki.
TISSTAKUKURU
Aisee sio kosa kucoment au kutocommentmimi sikucomment chochote kabisa namshukuru mungu kwenye hiyo Thread
Sijatajwa aseeAleyn, mambo, ISIS, Hance mtanashati,Kichwa Kichafu, sweetlee,24hrs,upepo wa pesa, Usa-river,vampire_hunter007,joseverest,mark msue,jakitoo, halloperidon,MBIIRWA,Jembekillo,... Wapi mmejificha? Mtakuwa mmeenda Zanzibar kusubiria Noah za Makinikia?
Kama hauna wivu unaweza kunigongea likes za kutosha
Kamata like!Ni mwendo wa like bila kujali nani kacomment!! wewe toa tu like shida nini!!!!
Nawe upo!Nakuja