Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asee ngoja niende kwenye point,Sina mda mrefu humu jamiiforum lakini majuzi nimeshangaa kuona member mmoja akipost mada ya ajabu tu hivi kwamba anasema wanaotaka LIKES wacoment chochote tu hata herufi moja kwenye huo uzi kisha ukisha coment chochote utachapwa na MaLIKES ya kufa mtu..mwanzo nikaona ni post ya kijinga ila sikuamini watu walivyomiminika kwenye huo uzi aseee:

Uzi wenyewe huu hapa: Uzi maalum wa kupeana likes, comment chochote upate like uzi una siku 4 tu lakini Mpaka hivi sasa nnavyoongea uko na page zaidi ya 1192 na umetazamwa mara 281,084 hawa watu wote karibia Laki3 wanataka Malikes 🙁 Mweeee! Nikachoka kabisa.

Ila nikaja kujua kumbe ila kasumba ya Instagram ama Facebook ya vijana wa kileo kupenda maLIKES ipo hadi humu sema watu hawataki tu kujionyesha ila moyoni wanapenda maLIKES.

Nihayo tu wajameni
Wewe unataka LIKE tu, haya nimekupa moja!
 
Back
Top Bottom