Wewe unataka LIKE tu, haya nimekupa moja!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wewe kula likeDuuuhhhhh
24k replies
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
UnakimbizwaUzi unakimbia
Wewe unataka LIKE tu, haya nimekupa moja!
mimi sikucomment chochote kabisa namshukuru mungu kwenye hiyo ThreadAsee ngoja niende kwenye point,Sina mda mrefu humu jamiiforum lakini majuzi nimeshangaa kuona member mmoja akipost mada ya ajabu tu hivi kwamba anasema wanaotaka LIKES wacoment chochote tu hata herufi moja kwenye huo uzi kisha ukisha coment chochote utachapwa na MaLIKES ya kufa mtu..mwanzo nikaona ni post ya kijinga ila sikuamini watu walivyomiminika kwenye huo uzi aseee:
Uzi wenyewe huu hapa: Uzi maalum wa kupeana likes, comment chochote upate like uzi una siku 4 tu lakini Mpaka hivi sasa nnavyoongea uko na page zaidi ya 1192 na umetazamwa mara 281,084 hawa watu wote karibia Laki3 wanataka Malikes 🙁 Mweeee! Nikachoka kabisa.
Ila nikaja kujua kumbe ila kasumba ya Instagram ama Facebook ya vijana wa kileo kupenda maLIKES ipo hadi humu sema watu hawataki tu kujionyesha ila moyoni wanapenda maLIKES.
Nihayo tu wajameni
Mikanjuni bhana daaaMaeneo ya Raskazone - Tanga
Kwa siku 4 tu! Mtume wee!Duuuhhhhh
24k replies
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Fakamia likes hizo!Byeeee
Kula likeMacho kama ngumi nakupenda tu vile ulivyo nakupenda
Dudu baya enzi zake eti macho kama ngumi imagine ngumi ya fodi maweiza
Au pale kwetu makorolaMaeneo ya Raskazone - Tanga
Kamata likesWadau kwani huu uzi mmeupandisha fast jet maana hii speed sio kawaida
mimi sikucomment chochote kabisa namshukuru mungu kwenye hiyo Thread
John CashKeny rodgers