Zingine sana sana akiambulia likes ni moja au mbili.Hivi ISIS ndugu yangu thread zingine utaki kabisa kuziona
Homeland Security...From depertment of security
Endelea kupost
Kula like
HahahahaJinsi Uzi unavyozidi kupanuka ndivyo hamu ya kutia likes inaongezeka. (in tibaijuka voice)
haha! unamaanisha ni asili yetu kupenda MaLIKES