moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huyu tumuombee![]()
Ningeyapata sahv ningefurahi sana[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huyu tumuombee![]()
Ningeyapata sahv ningefurahi sana[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mpaka kieleweke. Kamata likes...24k replies loading....
[emoji122] [emoji122] Sawa mkuu.Kwema huko?Me nipo showroom naweka oda kabisa ya Noah yangu nataka iwe na rangi ya samawati
Hamna! Mbona zipo za kumwagaNaokota moja moja Leo, leo
Nawe piausiku mwema jamani[emoji42] [emoji42] [emoji42] nawalove much much
$70,000. Yaani nitatatua matatizo yangu mengi sana. Fanya mpango sis japo kabunda kamoja...[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni maziwa duniani huyu ni viktoria[emoji23] [emoji23] [emoji13]Huyu tumuombee
Yaani hii kitu!Mpaka kieleweke. Kamata likes...
Tupo team mapopoTimu mapopo hatulali
Kamata hizo mpaka uote unatoa na kupokea likes...Likes za kulalia
Kula likeAsee ngoja niende kwenye point,Sina mda mrefu humu jamiiforum lakini majuzi nimeshangaa kuona member mmoja akipost mada ya ajabu tu hivi kwamba anasema wanaotaka LIKES wacoment chochote tu hata herufi moja kwenye huo uzi kisha ukisha coment chochote utachapwa na MaLIKES ya kufa mtu..mwanzo nikaona ni post ya kijinga ila sikuamini watu walivyomiminika kwenye huo uzi aseee:
Uzi wenyewe huu hapa: Uzi maalum wa kupeana likes, comment chochote upate like uzi una siku 4 tu lakini Mpaka hivi sasa nnavyoongea uko na page zaidi ya 1192 na umetazamwa mara 281,084 hawa watu wote karibia Laki3 wanataka Malikes 🙁 Mweeee! Nikachoka kabisa.
Ila nikaja kujua kumbe ila kasumba ya Instagram ama Facebook ya vijana wa kileo kupenda maLIKES ipo hadi humu sema watu hawataki tu kujionyesha ila moyoni wanapenda maLIKES.
Nihayo tu wajameni
Alright no problem! PitiaNirushie kabunda kamoja hako ka 10,000 kananitosha.