Jasiri aachi asili
Me nipo showroom naweka oda kabisa ya Noah yangu nataka iwe na rangi ya samawatiAleyn, mambo, ISIS, Hance mtanashati,Kichwa Kichafu, sweetlee,24hrs,upepo wa pesa, Usa-river,vampire_hunter007,joseverest,mark msue,jakitoo, halloperidon,MBIIRWA,Jembekillo,... Wapi mmejificha? Mtakuwa mmeenda Zanzibar kusubiria Noah za Makinikia?
Akiacha asili
786
Inakuja lini hiyo noah?[emoji2] [emoji2]Nikilala naota tu naendesha Noah yangu
Aa wapi! Twaishi likes!Mwafaaa
Nin mpy basUkhuty lete mpya
Kwani una tatizo watu akipenda likes?
53k wewe! Haki ya Mola wangu24k loading
haha! unamaanisha ni asili yetu kupenda MaLIKES