moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nirushie kabunda kamoja hako ka 10,000 kananitosha.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nirushie kabunda kamoja hako ka 10,000 kananitosha.
Watu wambea hao duh Ila wengine waarusha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanasema eti ISIS kabla ya uzi huu ulikuwa na like 8000 kwa sasa zimefika 18000's
Nilipenda JKT sana. Nice experience ila nikiwa na mtoto wa kike hata kwa mizinga haendi ng'o!Walioko kozi Jkt sasa hivi ndio wanambiwa kumekucha aiseee habari za kukesha huku mmekunja ngumi tena za x mbele na nyuma
Mambo ya general never wrong....
MajukumuAmepotea
MdogomdogoMpaka kieleweke. Kamata likes...
Ashindwe na alegee!Kuna bwege anatuwangia na uzi wetu huyu hapa Aseee!!!! Sitaki kuamini wabongo wanapenda LIKES kiasi hiki.
Mkuu tulikuwa wote tangu jioni, hao walikuwa absent ndio maana niliwatwanga kwenye ubao wa WANTEDSijatajwa asee
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ado adoHamna! Mbona zipo za kumwaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu I hope ulijifunza kitu but acha aende bhanah ili awe jasiri najua kinachokutia mashakaNilipenda JKT sana. Nice experience ila nikiwa na mtoto wa kike hata kwa mizinga haendi ng'o!
Hapana neno! Wamestaarabika sasa hivi!Nilipenda JKT sana. Nice experience ila nikiwa na mtoto wa kike hata kwa mizinga haendi ng'o!
Utajwe hujatajwa haijalishi. Kamata like!Sijatajwa asee
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Uniq karibu kisosora ingawa kwa sasa niko kanda ya magharibi but next month nita visit kisosoraMaeneo ya Raskazone - Tanga
Ule mkakati wa kujinyakulia jiko la kimachame imekuwaje?$70,000. Yaani nitatatua matatizo yangu mengi sana. Fanya mpango sis japo kabunda kamoja...[emoji23][emoji23][emoji23]
Word! Umeongea kama unakumbuka hiyo kiss ya kwanza wakati ulikuwa bize ng'weee, ng'weeeeeee oksijeni kavu ikichoma tumapafu twako tuchanga. Anyway kamata likesKiss natural from mummy when u born is the best kiss ever...
Miss you mom wherever you're always on mai maindi dah