carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ungesema tofauti na hili jibu ningeandamana[emoji23][emoji23][emoji23]Kwangu ni kweli tu mkuu[emoji23] [emoji23]
Ungesema tofauti na hili jibu ningeandamana[emoji23][emoji23][emoji23]Kwangu ni kweli tu mkuu[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] carba anazijua cc za kumtwanga mtu sindano tu.Mkuu nashukuru kwa maombi yenu nimefika salamaAndjul ni mwanamahesabu bila shaka anajua. Wanasemaga sijui 7 to the power of what...
Andjul njoo uokoe jahazi huku !!!
Ndo ujifunze kuamka mapema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanipa hongera kwenye vurugu kama hizo
Hahahahaa la brazil hapana
Hata si mtafuti mwambie namtakia usiku mwema asichelewe tu kurudi funguo ataikuta chini ya mlango me nalala[emoji23][emoji23][emoji23]Acha bhana anaangalia ulimwengu mara moja anarudi hapo
Cole Williams bibie anakutafuta huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuwa na wajukuu raha sana.Lasivyo ningekuwa nimekufa kwa mawazoWewe ni mtu wa nne kusema hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]hebu nisimulie alichoimbaUzi maalum pakua unachoweza. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Angalia huko nimeshatuma mpunga wa bundle stream hiyo.