Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8.Hakikisha jina la biashara yako linamvuto na kukubalika katika jamii husika. Pia Jihusishe na watu mbalimbali walioendelea katika ujasiliamali ili uweze kupata mawazo mbalimbali na mbinu mpya za kuweza kufanikiwa katika ujasiliamali.

9.Andika! Mali bila daftari huisha bila habari. Daima tunza kumbukumbu zako katika maandishi
 
10.Tafuta kitu kitakachokuwa na ushawishi wa hali ya juu kwa wakati huo katika eneo husika, ukitumie kama njia ya kujitangaza. ukifanikiwa katika hilo basi utajijengea channel kubwa na watu wengi watakujua na hiyo itakurahisishia safari ya kufahamika kwa biashara yako.
 
4. Kuwa Na Marafiki Wengi Wa Jinsia Tofauti Na Kutumia Muda Mwingi Kuchat Nao Kutamfanya Mwenza Wako Kutokuwa Na Imani Na Wewe.
5.Kum “Tag” Mtu Wa Jinsia Tofauti Picha Ambayo Umepiga Peke Yako Huashiria Kwamba Unataka Akuone! Hii Sio Nzuri Kwa Mahusiano. Tagging Humaanisha Kwamba Unamtambulisha Mtu Uliyepiga Nae Picha.
 
6.Usipende Kuandika Ujumbe Wowote Kwenye Ukurasa Wa Mwenza Wako Wa Zamani
7. Kuingia Kwenye Profile Ya Mtu Wa Jinsia Tofauti Na Kuanza Ku ‘Like’ Na Ku ‘Comment’ Picha, Hii Haina Picha Nzuri Kwa Mwenza Wako. Kumbuka Facebook Hutoa Taarifa Ya Kila Unachokifanya Kwa Rafiki Zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…