Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
G471
Hatari
HahahahahaHumu watu mko so speed si dhani kama wengine mnakula hata kula aisee wengine mukapumzike.
HahahahahaAisee nimemtafuta na kumuita hapa ila bado hajatokea! Wacha nianze kujipendekeza kwa cherie neisha huenda akaingiwa na huruma kwangu 😀😀
Huyu samaki uso wake ninaufananisha na mwanasiasa fulani hivi.. ila simtaji,,
DuKwani umeona kuna mtu humu kafa kwa njaa kwa kutokula? 😀😀