Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
G533
RIP MALCOLM X7. MALCOM X
Kama ilivyo kwa luther King Jr, Malcom X nae alikuwa mwanaharakati aliyepigania haki za watu weusi . Alikuwa waziri kwa wakati huo na aliuawa mwaka 1965 baada ya kuamua kuwa Muislam wa kisuni na kuondoa uanachama wake katika chama cha National Islam. Wauaji wote watatu walikuwa wanachama wa chama cha National Islam.
Hatari pia humu ni catalyst yanguUmekita kambi kweli leo...!