Pole sana,Yup my dear
Nimetoka airport!
Narudi nyumbani nakuta wana repair Toure Drive!
Yaani ni kelele za magari ya ujenzi!
Yeuwii
Hakuna kulala walahi!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] poleYaani ni lami zinamwaga na honi zinapigwa kila second
Hahahaha
Duh
Ukulima ndiyo huu
Yup yup