Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hoya mkuu huyo alisalimika kwa yule demu wake au alifirisiwa. ?
Aliukana weusi wake na kwa bahati mbaya mabinti wa kizungu wanamwendesha balaa...
Watu hawana hela za kuchezea aisee...Hahahaha
Size yake.,.dadekAliukana weusi wake na kwa bahati mbaya mabinti wa kizungu wanamwendesha balaa...
Wapi hapo mkuu ?
Smart moveWatu hawana hela za kuchezea aisee...
Nusu kwa nusu. Alikamuliwa karibu dola mil. 500; na mtoto kumuona ni kwa masharti magumu sana. Ni shida !!!Hoya mkuu huyo alisalimika kwa yule demu wake au alifirisiwa. ?
Hoya mkuu huyo alisalimika kwa yule demu wake au alifirisiwa. ?
Aliukana weusi wake na kwa bahati mbaya mabinti wa kizungu wanamwendesha balaa...