Nani yuko macho saahii
Nakuona nakuonaMimi apa![emoji3]
Nakuona nakuona
Bado uko wazi[emoji2]Umefunga mlango?
Bado uko wazi[emoji2]
Kweli huu uzi watu hawalali khaa
Hakuna mwizi ataingia hapa nimejipangaShauri yako, saa za wezi hizi! Na wa uani umeufunga?
HahahahaShauri yako, saa za wezi hizi! Na wa uani umeufunga?
Kwakweli[emoji2][emoji2]acha niendelee na doria languHakuna kulala hapa! Sleeping is overrated![emoji3]
Mbona??[emoji15][emoji15]
Kwakweli[emoji2][emoji2]acha niendelee na doria langu
Mbona??
Usiogope niko lindo[emoji2][emoji2]Hiyo AK imenitisha!