Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatimae mods wameunganisa uzi wa Traveller X aliyekuwa anautolea povu uzi wetu pendwa.

Sasa uzi wetu unabaraka zote kutoka kwa mods.


Like ulikiweeeee.

Jaza ujazweee.

Gonga ugongweeee.


...................
Ishi kwa matumaini na kiwewe cha makanikia kwenye mbio za wizi wa madini ya simba akicheza msondo ngoma na mtangazaji wa new force..[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
Nina hang over za jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…