Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

EAHarbinderSinghSethi.jpg


7.jpg
 
UNAMPA LIKES NGAPI HUYU DADA


Mume: Hallo my queen...

Mke: Nambie my darling...

Mume:: Nimekumiss honey...

Mke:: Hatamimi nimekumiss ile mbayaaa..

Mume:: Samahani mke wangu leo sitaweza kurudi nyumbani nitakuja kesho asubuhi..

Mke:: Unasemaje? na uishie huko huko ......kalale kwa hao hawara zako.....mwanaume mmbaya wewe kama Sokwe ...sijui hata ni Shetani gani alinishawishi hadi nikaolewa na Sokwe kama wewe.... yaani najuta .....sikupendi kabisa toka ndani ya Moyo wangu....Sikupendi hata kidogo..... Naogopa hata watu kujua kuwa umenioa.....naona hata aibu..

Mume:: Punguza jazba mke wangu...niko Bank.....kunafoleni ndefu sana......

Mke:: Ahh!! pole sana darling.....nakuonea huruma handsome wakipekee....but baby...usisahau kuniletea pesa kidogo.....ninashida na laki 2....halafu kuna ile elfu 70 anayonidai mama Amina leo alikuja kunikumbusha....

Nimekuandalia maji ya moto sweetie ukijakuoga mume wangu kipenzi.....then ukumbuke kuniletea chips na kuku wa kuchoma gengeni...nimemiss sana....Nakupenda sana Mfalme wangu....

Mume:: Ni Bank ya kuchangia damu...

Mke:: Na wakutoe yote....bora ufe tu....hunafaida yoyote...nyoo..potelea mbali ......mijitu mingine bhana!!!!


wanawake mungu anawaona
Ngoja nicheke kwa herufi kubwa kabisa.


Daahhhhh.


Wanawake mungu anawaona
 
Back
Top Bottom