Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,955
napendaga MALIKES...camera..attention...napendaga mafollowers...napendaga MAKINIKIA kama mTZ[emoji125][emoji125][emoji125]
Na wewe pokea likesAsee ngoja niende kwenye point,Sina mda mrefu humu jamiiforum lakini majuzi nimeshangaa kuona member mmoja akipost mada ya ajabu tu hivi kwamba anasema wanaotaka LIKES wacoment chochote tu hata herufi moja kwenye huo uzi kisha ukisha coment chochote utachapwa na MaLIKES ya kufa mtu..mwanzo nikaona ni post ya kijinga ila sikuamini watu walivyomiminika kwenye huo uzi aseee:
Uzi wenyewe huu hapa: Uzi maalum wa kupeana likes, comment chochote upate like uzi una siku 4 tu lakini Mpaka hivi sasa nnavyoongea uko na page zaidi ya 1192 na umetazamwa mara 281,084 hawa watu wote karibia Laki3 wanataka Malikes 🙁 Mweeee! Nikachoka kabisa.
Ila nikaja kujua kumbe ila kasumba ya Instagram ama Facebook ya vijana wa kileo kupenda maLIKES ipo hadi humu sema watu hawataki tu kujionyesha ila moyoni wanapenda maLIKES.
Nihayo tu wajameni
Ukiwa nyundo kwenye uzi huu itakusaidia kugongea like[emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375]
Nyuma mwikoDaima mbele
Chukua like yakoNipo
Karibu upate kitu likeWADAUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU MKO POAAAAAAAAAAAAAAA
Hivi nikitaka niyalalie usiku mzima itanicost $ ngapi?Ni milionea (in US $) so itabidi ujipange vizuri...![]()
![]()
![]()
Nipo kama popo[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Broh upo[emoji56] [emoji56] [emoji56]
kamata like yako na wwKula malikes ya kufa mtu