Mango833
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 4,483
- 20,663
Ipo kuna sehem ukiwa serious utaionaIPO humu pia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kula like hiyo mkuu
Ipo kuna sehem ukiwa serious utaionaIPO humu pia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kula like hiyo mkuu
Ca va!?Hola, cómo estás?
Nimemuona, kumbe na yeye anazipenda ila anamwaga tu povu eti anajidai ana akili kuzidi Jembekillo.Kuna bwege anatuwangia na uzi wetu huyu hapa Aseee!!!! Sitaki kuamini wabongo wanapenda LIKES kiasi hiki.
Usimbanie mwanao sasaKwa boyz JKT lazima lakini nikiwa na daughter hataenda hata wahamishie jeshi zima la anga nyumbani kwangu. Nilikata mwaka mzima na niliyojifunza mpaka leo yananisaidia maishani.
Kweli kabisa leo hatuna speedLeo speed ndogo tulitakiwa tulale na 25k, jana tuliamka na 15k tukalala na 20k, ila sbb itakuwa watu wako busy na kazi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]I avu a conveshen donti teki iti pasono i avu a convshen so u gati lisen apu
Cc: Ras Simba on fleek
Chumbageni TangaMikanjuni - Tanga
KaribuMikanjuni - Tanga
Yaani hata hujazoea jukwaa unaanza kudharau kiasi hicho.Asee ngoja niende kwenye point,Sina mda mrefu humu jamiiforum lakini majuzi nimeshangaa kuona member mmoja akipost mada ya ajabu tu hivi kwamba anasema wanaotaka LIKES wacoment chochote tu hata herufi moja kwenye huo uzi kisha ukisha coment chochote utachapwa na MaLIKES ya kufa mtu..mwanzo nikaona ni post ya kijinga ila sikuamini watu walivyomiminika kwenye huo uzi aseee:
Uzi wenyewe huu hapa: Uzi maalum wa kupeana likes, comment chochote upate like uzi una siku 4 tu lakini Mpaka hivi sasa nnavyoongea uko na page zaidi ya 1192 na umetazamwa mara 281,084 hawa watu wote karibia Laki3 wanataka Malikes 🙁 Mweeee! Nikachoka kabisa.
Ila nikaja kujua kumbe ila kasumba ya Instagram ama Facebook ya vijana wa kileo kupenda maLIKES ipo hadi humu sema watu hawataki tu kujionyesha ila moyoni wanapenda maLIKES.
Nihayo tu wajameni