Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
[emoji23] [emoji23] [emoji97]Papa Mwenye Mafedha James Rugemalila mutu ya watu, Dah sasa hivi ipo na Babu Seya na Kitilya Kekoooo, kweli Maisha hayana fomula
[emoji23] [emoji23] [emoji97]Papa Mwenye Mafedha James Rugemalila mutu ya watu, Dah sasa hivi ipo na Babu Seya na Kitilya Kekoooo, kweli Maisha hayana fomula
Qu'est-ce que ça va?Ca va!?
Watu sijui wana niniNimemuona, kumbe na yeye anazipenda ila anamwaga tu povu eti anajidai ana akili kuzidi Jembekillo.
Point badae mkuu...Jamaniiiiii.Likes zimezidi huu Uzi.Hali IPO wapi?? Likes Si ziliwekwa Ili watu wajitahidi kuweka points vizuri?? Sasa.kama.kuna likes za burebure points zitakuwaje?? Roho inaniuma sana watu kupata points za bure
Wabheja sana Mkuu!Nimekuelewa sana kiongozi,
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mzee mitomingi ngoswe penzi kitovu cha uzembe
Unauliza zina kazi gani?.Like zina kazi gani? Maana hata sijui inawezekana ni kaugonjwa kazuri maana hata mi nazipenda na sijui why wadau nipeni DAWA YA MA LIKE
Kamata likes...Qu'est-ce que ça va?
Sema kweli mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji56] [emoji56]Unahabari kuwa kiswahili kina maneno(misamiati) machache?
Likely $5,000+ [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi nikitaka niyalalie usiku mzima itanicost $ ngapi?
Labda nikukaribishe kwa MziguaKaribu
Hapa ndio utajua kwanini mkurugenzi wa IPTL alitumbuliwa usiku.Waliokula hela ya escrow mida hii wanaonja maisha ya upande wa pili wa sarafu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] huyo ni assistant sheitwan*Mtu unamtongoza kwa mda mreefu anakuja kukubali mwezi wa ramadhani*
*Si dharau hizi*