Rosweeter
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,172
- 4,435
Bado, isingizi hauji nawaza like tuMmelala
Bado, isingizi hauji nawaza like tuMmelala
Pata likeDuuuh, haiwezekani, ngoja na mimi nijaribu kuambulia like mbili tatu hapa
We kula like tu..Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....
"Za hasubui Mupenzi,
Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"
*Aisse hapo utajua kwanini Bob Marley aliimba "No Body Can Stop Raggae"
Na wewe nakupa like 5..Pata like
Mkuu ushaanza kupitwa pitwaWALE WA QUOTES MPOOOOO?????
Umeiva ww[emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Qu'est-ce que ça va?
Chukua hiyo hapo mkuuJamaniiiiii.Likes zimezidi huu Uzi.Hali IPO wapi?? Likes Si ziliwekwa Ili watu wajitahidi kuweka points vizuri?? Sasa.kama.kuna likes za burebure points zitakuwaje?? Roho inaniuma sana watu kupata points za bure
usijali hamna tabuMkuu ushaanza kupitwa pitwa
Hiyo hela si nishamiliki IST[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji594]Likely $5,000+ [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Kamata likes [emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniiiiii.Likes zimezidi huu Uzi.Hali IPO wapi?? Likes Si ziliwekwa Ili watu wajitahidi kuweka points vizuri?? Sasa.kama.kuna likes za burebure points zitakuwaje?? Roho inaniuma sana watu kupata points za bure
Kula like hiyo wewee...mlale basi likes zipo ata kesho
Duh we ni mwalimu jamaa angu[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Unamjua Mzee Jimbi
Mzee Kifaruhande
Mama Inda.
Unakumbuka Ngoswe alipotwanga Kiss la ukweli kwa Mazoea kule Mtoni!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mimi mpaka kitufe cha likes kime-freeze. Hapa nilipo na-restart JF App. Kazi ipo kwa kweli!Mimi ndo ninaelekea ku[emoji42].....huu uzi utatutoa roho[emoji38] [emoji38]
Naomba niwe wa kwanza kukupa likeMimi mpaka kitufe cha likes kime-freeze. Hapa nilipo na-restart JF App. Kazi ipo kwa kweli!