Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....

"Za hasubui Mupenzi,

Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"

*Aisse hapo utajua kwanini Bob Marley aliimba "No Body Can Stop Raggae"
Mimi nimekutana na mwanaume wa hivyo, jina lake ni Bashite
 
Back
Top Bottom