gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,849
Njoo tukimbizane mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kidali po
Njoo tukimbizane mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kidali po
Kama ni Muhaya hakuna cha ajabu hapo Wao kuchopoa negative marker h- na kuiweka isipotakiwa ni jambo la kawaida hata wawe na Ph.D...Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....
"Za hasubui Mupenzi,
Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"
*Aisse hapo utajua kwanini Bob Marley aliimba "No Body Can Stop Raggae"
Nimecheka sana baada ya kuupitia huu uzi, kaponda lkn malkia wa LIKE Ukyut na wengine wamemuanzishi ma like humo humo, saa hizi uzi ule uko sawa na huu tu, watu wanakula ma like kwa kwenda mbele. Yeye alidhani anaponda kumbe ndiyo kaharibu kabisa. LIKE haiwezi kumuacha mtu salama[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kuna bwege anatuwangia na uzi wetu huyu hapa Aseee!!!! Sitaki kuamini wabongo wanapenda LIKES kiasi hiki.
Aisee si walivunja pale[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]Wa viwanja vya fisi
Usilale[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiku mwema wadau
Quote za wapi na wewe. Thread hii ulipitwa kuwa "be the first to reply" Kula likes tu kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23]WALE WA QUOTES MPOOOOO?????
Njoo tuwangeNaamka ili nilaiki
Babe S hujalala? Leo macho hayakuumi?Bado watu wamo humu!??
Anza wewe kwanza. Kamata likesmlale basi likes zipo ata kesho
Asante kushukuruAsanteni
Ndiyo maana nikakwambia hapa parefu. Huwa anaalikwa na watu wenye nazo kwenda kuwapiga piga nayo haya usoni na hata kufanya face seating...Anyway, kula likes achana naye huyu...Hiyo hela si nishamiliki IST[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji594]
Weka like wacha manenoJamaniiiiii.Likes zimezidi huu Uzi.Hali IPO wapi?? Likes Si ziliwekwa Ili watu wajitahidi kuweka points vizuri?? Sasa.kama.kuna likes za burebure points zitakuwaje?? Roho inaniuma sana watu kupata points za bure
Ni add basi nimeshaLIKE*Mtu unamtongoza kwa mda mreefu anakuja kukubali mwezi wa ramadhani*
*Si dharau hizi*
ahahahah na wewe kwa kuwa umeniponda kula like hiyo hahahaQuote za wapi na wewe. Thread hii ulipitwa kuwa "be the first to reply" Kula likes tu kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha haaaaaaaa, we chizi kabisaKusema kweli muda wa kusoma hadithi yote hakuna. Kamata likes...
Hapa hapa LIKE mpaka kunakuchaSisi tusiolala tukutane uzi upi?