Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Sikuwahi amini kama kuna uzi utakuja kuuletea ushindani makapukuNuclear bomb
Sikuwahi amini kama kuna uzi utakuja kuuletea ushindani makapukuNuclear bomb
Teh teh tehKichwa kichafu anaota tu sasa hivi
IPI mkuuHii kazi Ngumu sana
Jabali la muziki toka mitaa ya gerezani kariakooMarijani rajabu
huwezi jua
HhahahaahaaMara baby doll
Mara Gejo
Mara nsamaka
Dah usiku unakuwa mrefu sana kwake
Hahahahaha
NomaDuuh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Safari ya koko haikukuacha bila picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Ha wa yuuu
Umeanza kudanganya nakuona tuWala usijali sina ninachochukulia serious humu,uwe na aman tu
Usingizi ni wetu usitupangie kulala[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mliolala si muamke?
"Mwili hujengwa kwa chakula na kubomolewa kwa chakula" hii ni kwa mujibu wa daktari asiye na mipaka numbisa![]()
[emoji3] [emoji3] Uzi unalindwa kwa mitambo maalum ya kuzuia "fisi".[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]nawaza kilichotokea tu
Nzuri sanaHabari zenu wapendwa