Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] !!! SYB hivi Cole yuko wapi?? Mali zake zagawanywa huku...
Atakuwa bize na majukumu bila shaka. Nilishamuonya mara nyingi kuwa asiwe anapotea kwa muda mrefu lakini naona hanisikii. Hata hivyo namwamini sana shemeji na sina wasiwasi wo wote japo KK kuna wakati anaweza hata kumliza.

Cole's world forevaaaaa !!!
 
Back
Top Bottom