Na ukiangalia vizuri legacy za watu wengi zimeegemezwa katika kitu kimoja tu ambacho walikifanya vizuri. Tatizo la wengi wetu ni mawazo kibao yaani mtu hujui hata ufanye nini na uache kipi. Hatuna passion. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
**************************
Take up one idea. Make that one idea your life - think of it, dream of it, live on that idea. Let the brain, muscles, nerves, every part of your body, be full of that idea, and just leave every other idea alone. This is the way to success.
- Swami Vivekanann