19:347:00
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Acha afukue akili zirudi vizuri[emoji23] [emoji23]Acha kufukua makaburi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kweli tembea uone.Orodha yako imezingatia nini hasa? Angalau ungesema Kiingereza, kichina, kiarabu, Urdu, Gujarat, na nyingine zifuate vinginevyo kichina,kiarabu na kihindi zinazitumiwa na mamilioni ya watu duniani kuliko kijerumani na kifaransa. Kama siko sahihi tafadhali mniweke sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mtu anafukua makaburi ujue.......[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Siku GeJo ametufungia 200k