Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usipoangalia utachafua hali ya hewa hapa sasa hivi Mzee wa Masaki.

Kama jina lao linavyosema "Elimu ya Kimagharibi ni Haramu", lengo lao ni kufutilia ukafiri wote wa Kimagharibi na kusimamisha dola litakalotawaliwa kwa kutumia "Sharia law".
Mkuu nilitaka kujua tu madhumuni ya kundi lao that only
Sasa sijui kunahusika na nini kuwateka hao watoto wa kike
Any way wacha tupate likes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…