Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu wa kushoto atakuwa amegusa mkojo wa jike, huyu mwingine kanusa nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji818][emoji818][emoji818]
6bf2fadc2ba42a57c6b44470f3929206.jpg
Hahahaha
 
Hivi bado hawajapatikana
Hivi nia na madhumuni ya Boko haramu nini
Usipoangalia utachafua hali ya hewa hapa sasa hivi Mzee wa Masaki.

Kama jina lao linavyosema "Elimu ya Kimagharibi ni Haramu", lengo lao ni kufutilia ukafiri wote wa Kimagharibi na kusimamisha dola litakalotawaliwa kwa kutumia "Sharia law".
 
Back
Top Bottom