Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
H027
[emoji120][emoji120]
Nakuangalia tuUkiona mtu anafukua makaburi ujue.......[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
MD.....
Shemeji unakwenda wapi tena?
Na wewe una mjomba?
Uzi huu haki ya nani raha sanaaaa !!!
Amekujibuje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nsamaka my dear,habari yako
Hivi bado hawajapatikana
Kuna mwl. form two alikuwa na bichwa tukambatiza eti Medula Oblongata. Basi ilikuwa ukiingia katika anga zake viboko utakavyooga utakwenda kusimulia. Utoto raha sana !!!