Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
H085
OyoooKwa wageni wote katika uzi huu. Kitu cha muhimu hapa ni kupeana likes. Unapewa likes na wewe unatoa likes kwa wenzako. Ndivyo uzi huu unavyokwenda. Siyo tu wewe unapewa likes lakini wewe hutoi. Huo ni ubinafsi wa hali ya juu kwa sababu likes hizi hazigharimu cho chote. TOA LIKES POKEA LIKES![]()
Muulize yuko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]itakuwa kapata mchepukoNirudishie andjul wangu tafadhali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa liver nimeliona lake nimecheka sana...posts za mwezi wa sita ni za jazba ajabu[emoji23][emoji23]ndio...ila usimchokoze asijeenda fukua makaburi yako bure
Hatari kwa chengaJ. J Okocha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duAmani iwe nami
Hapana tena HAPANA mumeo kapata mchepuko tu huko,mimi sijaonana nae mana hata ile faida ya maparachichi hakunipa[emoji23][emoji23][emoji23]Nyumbani kwake ni shinyanga, huko dar alienda kikazi tu basi ndio akazamia kbs baada ya kukutana na Carba.