Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Karibu tukeshe
Eeeeh...natafuta pesa mama,nataka uishi kama malkia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njema kbs ila andjul bado hajarudi.
OkThey are free ni muhimu sana kwao!
It's has been a month now!
Afu si rahisi kuwashika they are flying very high kama eagles!
And huge creatures!
They are so beautiful!
Living free!
Mmmmhhh Jambo Zuri HiloHapana, huyo ni shemeji yangu tena namheshim sana.
[emoji23]acha nikatafute kaburi la mtu mmoja hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa liver nimeliona lake nimecheka sana...posts za mwezi wa sita ni za jazba ajabu
Rudi kwako baba[emoji23][emoji23][emoji23]mkeo ananiandamaEeeeh...natafuta pesa mama,nataka uishi kama malkia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe Kuna Wazee Humu Mmmhhh[emoji23][emoji23][emoji23]sasa unataka awe vipi?et Cole Williams njoo umsikie huyu mzee hapa
Nisaidie kumshangaa,mimi nimeshindwa kumshangaaYes ni mm, kwani ww umesikia kaoa lini mke mwingine?