Ahahaha na ww unamkana baada ya kusikia nimeamua kumfuata?Hapana tena HAPANA mumeo kapata mchepuko tu huko,mimi sijaonana nae mana hata ile faida ya maparachichi hakunipa[emoji23][emoji23][emoji23]
TL
Vp Bibie umesanda[emoji772][emoji772][emoji772][emoji352][emoji352][emoji352][emoji352]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona ulivyo? Ina maana hujui uko wapi?(Hivi kumbe bado sijarudi safari) usije mjini mama... Kuna vishawishi sana...naja muda si mrefu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaNiliona yupo anafua nepi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaYa kwako subiri ntakuletea huko huko ulipo siku ya jpili maana naona hutaki kurudi hadi nimeamua kukufuata.