Mkuu tulia mbona mgumu kuelewa
Umbea tu.Mimi nipo Kariakoo saa hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]mayooooooo
Enhe[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]Nakusimulia kilichotokea jana, najua nae mhusika ataona maana alinielewa jinsi inavyofaa kuishi.
Nilivyo fika Chalinze nikaona nitafute abiria hata mmoja wa kuwa nae maana sikuwa vizuri.Nikafungua uzi wetu,ndani ya dakika mbili tu nikaona uzi umechangamka sana,wazo likanijia nitafute abiria mwenye leseni.
Mungu mkubwa nikampata,akalipa 5,000 kwa madalali mimi nikasema hapana ila tutaendesha wote.
Basi, nikamuachia usukani nikawa namwaga milaiki huku nacheka.Baadae sana tupo mikumi hata story hatuna,ikabidi aniulize upo grupu gani hilo? Nikamuambia jf,akauliza uzi gani? Nikashtuka kidogo,akaniwahi kuwa na yeye ni memba na kwa ukarimu niliomuonyesha akataja na ID yake... Jamani!!!zile lugha za kule na yeye tofauti kabisa... Nikamshauri abadilike,aishi kwa uhalisia tu,ni muelewa na muonekano mzuri tu.Next wiki narudi nae jijini kuuza maparachichi na bamia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzaliwa mpya HumuGUYS Tarehe 12 /8/199..
Ndiyo siku niliyozaliwa Mimi.
Yakiwa limebaki lisaa na DKK kadhaa , napenda kuwaalika kwenye party SAA sita kamili.
Karibuni
Sawa mkuuTulike tuwili tutatu hivi twa kulalia jaman...
Carba......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu ninyamaze nisije pimwa urine bure...
Umesema bado hajarudi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Unalinda soko??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umbea tu.Mimi nipo Kariakoo saa hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee huyu jamaa hatari sana winger hatari sanaClaudio canigia
Mvumilie si unajua kimfaacho Mtu chake.Itakuwa vizuri mkuu
Maana kelele humu zaidi ya chiriku na kasuku. [emoji23] [emoji23]
Nialike na mimi basi[emoji6][emoji6]Karibu mkuu,japo mpaka upate ya kuja huku toka Koromije sio leo wala kesho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
My love najikuta nakumiss tuLight and thunder
My love!
[emoji23][emoji23][emoji23]pole eehSijui hata. Kwani hata namjua sasa
Nimekumis pia carbamazepine nadhani sasa majukumu yamepungua naona tutakuwa pamoja japo hata kwa masaa machache itakuwa inapendezaAiseeh nilikumiss wewe mtu...aje mapema bhana
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]polee eeh
Umepotea karibu