Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa wageni wote katika uzi huu. Kitu cha muhimu hapa ni kupeana likes. Unapewa likes na wewe unatoa likes kwa wenzako. Ndivyo uzi huu unavyokwenda. Siyo tu wewe unapewa likes lakini wewe hutoi. Huo ni ubinafsi wa hali ya juu kwa sababu likes hizi hazigharimu cho chote. TOA LIKES POKEA LIKES
f315beb8f08d88463f7c58ec63ef4b45.jpg
[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji818]
 
Nimeelewa sana tu wala hakuna tatizo ila wengi wanapenda maisha ya maigizo jamani ukiona maneno utahisi unachat na mtoto wa bill gates kumbe wa tandale kwa mtogole tu
Nakusimulia kilichotokea jana, najua nae mhusika ataona maana alinielewa jinsi inavyofaa kuishi.
Nilivyo fika Chalinze nikaona nitafute abiria hata mmoja wa kuwa nae maana sikuwa vizuri.Nikafungua uzi wetu,ndani ya dakika mbili tu nikaona uzi umechangamka sana,wazo likanijia nitafute abiria mwenye leseni.
Mungu mkubwa nikampata,akalipa 5,000 kwa madalali mimi nikasema hapana ila tutaendesha wote.
Basi, nikamuachia usukani nikawa namwaga milaiki huku nacheka.Baadae sana tupo mikumi hata story hatuna,ikabidi aniulize upo grupu gani hilo? Nikamuambia jf,akauliza uzi gani? Nikashtuka kidogo,akaniwahi kuwa na yeye ni memba na kwa ukarimu niliomuonyesha akataja na ID yake... Jamani!!!zile lugha za kule na yeye tofauti kabisa... Nikamshauri abadilike,aishi kwa uhalisia tu,ni muelewa na muonekano mzuri tu.Next wiki narudi nae jijini kuuza maparachichi na bamia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom